Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Kwema kabisa Mkuu. Habari ya majukumu
Nawe pia.....GM wanaselfika majukum mema
Umenikumbusha chakula cha sungura wangu 😃😃😃
Kweli umeamka wengine tulijipumzisha tu
Mboga Safi sana..Umenikumbusha chakula cha sungura wangu 😃😃😃
Umedamshi hakika umeumbwa ukaumbika uliumbwa siku ya pekee ako
Mashallah
Sofia sofia.....💕💕💕
Na sungura wanapenda sana..Mboga Safi sana..
@_King Tajiri wa watu hzo ni vocha umetuma au nn mbona kwangu hazifunguki Tajiri wangu
Vocha Jumapili jioni, naweka mzigo mzito mshindwe nyie tu.. hata kinyonga atapata mbili au tatu 😃😃😃😃.. hizo ni christmas Song, si unajua tunaelekea msimu wetu@_King Tajiri wa watu hzo ni vocha umetuma au nn mbona kwangu hazifunguki Tajiri wangu
Vipi mkuuDah..![]()