Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Hahha aunt nawe huridhikSofia sofia.....[emoji177][emoji177][emoji177]
Ahsante aunt
Ila hilo emoj kubwa sanaaaa
Hahha aunt nawe huridhikSofia sofia.....[emoji177][emoji177][emoji177]
Ahsante aunt
Ila hilo emoj kubwa sanaaaa
AsanteMashallah
Hah asanteUmedamshi hakika umeumbwa ukaumbika uliumbwa siku ya pekee ako
Hahah nimecheka aiseeKweli umeamka wengine tulijipumzisha tu
Pamoja Tajiri wangu ngoja nizime data mpka jumapili ubarikiwe sanaVocha Jumapili jioni, naweka mzigo mzito mshindwe nyie tu.. hata kinyonga atapata mbili au tatu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. hizo ni christmas Song, si unajua tunaelekea msimu wetu
[emoji23][emoji23]Pamoja Tajiri wangu ngoja nizime data mpka jumapili ubarikiwe sana
hakuna haja ya kuzima data wakati tuna freebasicPamoja Tajiri wangu ngoja nizime data mpka jumapili ubarikiwe sana
Ipi hyo Tena nipe maujanjahakuna haja ya kuzima data wakati tuna freebasic
Cheupe umeamka mamiii[emoji23][emoji23]
Sio mbali
Nina weupe gani mieCheupe umeamka mamiii
Hudumu inayokuweza kutembelea baadhi ya wavuti bila makato ya kifurushim. ni bure cheki na google ina maelezo yoteIpi hyo Tena nipe maujanja
Cheupe wangu mm niko poa kiasNina weupe gani mie
Niite cheusi
Vipi mzima wewe ?
Nielekeze pm Tajiri wa rohoHudumu inayokuweza kutembelea baadhi ya wavuti bila makato ya kifurushim. ni bure cheki na google ina maelezo yote
Kwa nn kiasi ?Cheupe wangu mm niko poa kias
Santo sana madameee!😘😘
Wikiend bila vocha mhh [emoji26]Kwa nn kiasi ?
Wikiendi imeanza
Cheki hapo google mkuu wangu..Nielekeze pm Tajiri wa roho
Ah poleWikiend bila vocha mhh [emoji26]
Tupia basi Shangazi 😉😉 vijana tutokwe na wenge la kuamka 🙂🙂🙂Santo sana madameee!😘😘
Hahahaaa.. usitoke hapo mjomba !!Tupia basi Shangazi [emoji6][emoji6] vijana tutokwe na wenge la kuamka [emoji846][emoji846][emoji846]