Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaonekana umepanick sana mkuu, kwamba cocastic awe na umri sawa na baba angu?


Hebu ngoja nicheki isije kuwa nimeku-qoute wewe badala ya huyo, kama sikuku-quote basi wewe ndo utakuwa mparamiaji.
Aaaah basi sawa nimeona, ilikuwa ni mis-quote mkuu. Mimi nilidhamiria kumquote cocastic bahati mbaya ikawa kwako. Niwie radhi kwa hilo.


Pamoja na hayo huwezi kuwa baba angu wewe, acha mikwara
.

Cc Glenn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…