Selfika na JF: Snap it. Show it

Uko sahihi sana...nafikiri std nzuri kwa hii kazi ni 20% ya mtaji.
Hii haihatarishi capital yako.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ 20% kama ya capital ya $ 10,000 ni $ 2000 nzuri sana hii. sema sasa hivi nimejikita sana ku study hizi crude oil ile dude kwa mwezi unaweza ukawa millionea wa mchango kama utananata na beat ,๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ paka sasa hivi kwa sehemu nimeusoma mwendo wake nafanya testing zangu inakubali..
 
Mkuu mimi nimeachana na zote zinazoathiriwa na Economic news.
Hiyo itakupa kwa muda lakn yakifululiza matukio kama haya ya Rusdia na bahati mbaya yakujie kwa ghafla unaweza kupotea uwanjani mazima.
Volatility na crash na boom yananitosha sana.
Uzuri kupata pesa yako ni ndani ya dakika 10 zimekufikia
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Unachosema ni kweli, currency hiki kipindi ni pasua kichwa sana. Ila tunaishi nazo hakuna namna .

Mkuu usiku mwema. Nikutakie kila la kheri mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ