Hatari sana kutafuta mali pamoja. Kila mtu atafute zake.
Nakumbuka usemi wa mzee wangu.. alikuwa anasema kijana wangu, usichume mali na mwanamke.. Pambana hakikisha unakila kitu na upo stable.. ndio chukua mtu wa kuishi nae, na akikusumbua muachie kila kitu alicho kukuta nacho.. Maana hajui nyuma ya akicho kikuta kimekuwaje na kimesisimaje.. Hizi habari za kutoka mkatafute wote ni nzuri lakini