Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtuma vocha anaumwa. Na sina uhakika hata kama mnamuombea ili apone haraka. Nyie kulalamika tu


Ostaadh Mjep. Natumaini unaendelea vyema huko uliko. Hebu na upone haraka aisee maana kuna watu wanalala na kuamka wanaota vocha.
Niko salama sana kaka mkubwa
Afya iko imara sana kwa sasa jana nimetingwa sijapata fursa ya kuingia tuu
Nawashukuru woote kwa maombi na dua zenu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…