Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Them ni99as was nice and nasty with it. My fellow senior citizens know what's up.

20220615_194534.jpg
 
Nkamu tutapishana njiani, ngoja niongezeke kidogo [emoji23][emoji23].

68 utazifikia tu nkamu, umeupiga mwingi so far; from 91 sio mchezo. Afu kwenye picha mbona unaonekana una mwili wa kawaida tu?
Nimegundua kuna watu vidole habiendani na miili.

Mimi ukiniangalia vidole vyangu utasema bonge la mtu..kumbe!!
 
Back
Top Bottom