Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kununa huwa namnunia mtoto wa mama mkwe, ili anibembelezeee.

Kwa wengne hata mnuno hausogei yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mtoto wa mama mkwe sinaga muda wa kununa[emoji1].. nakuchana live mambo yanasonga.. siku nikinuna ujue umenikera sanaaaaaaaaaa, na ukijua jinsi ya kumaliza mnuno tuu, ohooo[emoji23][emoji23] sichelewi kucheka
 
Yah hakuna maana sema ikitokea hakuna jinsi
Kuna mtu wanakera .. nashukuru Mungu nazidi kujifunza uvumilivu kwa sasa ..

Mimi nanuna sema ni sababu ya mood swings
Nothing else [emoji23]
Mi ukinikera sinuni mama, nakuambia papo hapo. Una hiari usuke au unyoe.. siwezi vimbisha mdomo Mimi siku nzima kisa mtu [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…