Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,247
Kutomtunza mwanamke ni UGAIDI[emoji1635]Nakuambiaje ukipata manzi unamuelewa honga, vigari hivi vya mil 16-20 (kama uwezo ni within)unashindwaje kumhonga mwanamke unamuelewa, mwanamke wako ni reflected image yako, akiwa vizuri sifa zinarudi kwako, hata kama mtu aje akukute una kanda mbili atakupigia salute, akizingua ni juu yake, atajua mbele ya safari.
Yaani unamwagia daily mishahawa halafu kwenye matunzo ni 0, ni ugaidi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app