Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanza nna jambo dogo mie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiamua kujitoa ufahamuu, huwa nasahau kabisaa niko dunuiani.

Wee buzza nomaaaa, yaan kule khaaaah ni ulayaaa kabisaa.
😂😂😂😂 ...hunaga mbambamba Mdogo angu
Buza kule fireeeee..hapaboi hataa...kwa shughuli Sasa loh!!..pako pambee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ...hunaga mbambamba Mdogo angu
Buza kule fireeeee..hapaboi hataa...kwa shughuli Sasa loh!!..pako pambee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe hivi unajua kulee watu wamevurugwa, hebu nikae kmyaaa, uwiiiiiih.

Nimekumbuka kitu mweeeeh.
 
Screenshot_20220615-125846.jpg
 
Back
Top Bottom