





wacha kabisaaa kule ulayaaa.
Bas bhana week zilizopita, kuna rafiki angu m1 alikua na sherehe ya mtoto wa Dada ake kutolewa 40, kule buza kwa mama kibonge, si akanambia twende ukaoone mambo ya kule wapo waliopinda zaidi yako,
Nkamuambia unanijua au unasikia? Kwa kuwa sioneshagi balaa langu unaniona wa wasi wasi sana? Akanijibu we kuna watu kule wamevurugwa, nkasema huyu wacha nijitoe ufahamu nkamuoneshe kuna wakali wa haya mambo na wakali hao ni mie.
Nkaweka kijora changu kwa mkoba hao ndukiiii, kufika kulee niliyoyakutaa sasa nkajiona nipo dunia yangu nkajisemea mambo ndo haya sasa, kikaanza palee kigoma na kigodoro, vidampa walikua wa kushatoo,




ila buzza daaah.
Nkasoma mchezo, nkasema wacha nijilipue, nkabadili nguo, vaa kijora changu, ctaki tabu na mtu, nkazama uwanjan likapigwa singeli la miss buza, akaingia na mdada tushindane, weee nkasema hapa umeyavagaa nakufundisha na vingne ukampage bwana ako kunako 6 kwa 6,
Mambo niliyoyaweka palee, watu hoi,





Natoka rafiki angu ananambia kumbe wee ni mwehu hivi, nkamuambia kaa kwa kutulia, yule dada akaniomba no yangu nkampa tunawasilian km kawa, rafk angu ananambia yaan wee ukienda buzza mara 2 tunakukosa mazimaaa, woiiiiiiiiih
Kwanza kwa mambo ya buzza, mie ningezaliwa na kukulia kule, nisingesoma hata la 7 nisingefika ningeharibika mapema mnoooo.
Kule ni hatareeeeeeh,.










