😬😬😬 Haya mambo ya Big boys. Yanafanya vijana tuwe wanyonge kitaa.. tukionewa huruma mrembo anakuletea bills za 5 millions usipotimiza ujiandae kutafuta dawa ya maumivu ya kichwaNakuambiaje ukipata manzi unamuelewa honga, vigari hivi vya mil 16-20 (kama uwezo ni within)unashindwaje kumhonga mwanamke unamuelewa, mwanamke wako ni reflected image yako, akiwa vizuri sifa zinarudi kwako, hata kama mtu aje akukute una kanda mbili atakupigia salute, akizingua ni juu yake, atajua mbele ya safari.
Yaani unamwagia daily mishahawa halafu kwenye matunzo ni 0, ni ugaidi.
Kwakweli ananisingizia metadata isije ikafanya kazi nikashangaa nawekewa silaa kichwani kigogo ni nani 😆😀😄
😃😃😃 Ndio utatoa maelezo vizuri kusikojulikanaKwakweli ananisingizia metadata isije ikafanya kazi nikashangaa nawekewa silaa kichwani kigogo ni nani 😆😀😄
Mbona nitakoma
Eti kigogo mpaka nimeogopa 😀😀😃😃😃😃 Ndio utatoa maelezo vizuri kusikojulikana
😂😂😂 Haya mkuu, lakini ndio kila mtu anarefusha mkono anapofikia, caring sio kwa big boys, caring is sharing.😬😬😬 Haya mambo ya Big boys. Yanafanya vijana tuwe wanyonge kitaa.. tukionewa huruma mrembo anakuletea bills za 5 millions usipotimiza ujiandae kutafuta dawa ya maumivu ya kichwa
Pamoja kaka. Majukumu mema na shule njema.. acha niweke guard hapa naweza onewa huruma😂😂😂 Haya mkuu, lakini ndio kila mtu anarefusha mkono anapofikia, caring sio kwa big boys, caring is sharing.
Najiandaa kuamka, baadae naingia class. baadae mkuu.
😃😃😃 Tutakuogopa kwanza na sie, kigogo mwenyewe asije akaanza kutu track bure kumbe hapa ni chit chat tuEti kigogo mpaka nimeogopa 😀😀😃
Bado nataka kuishi
AsanteAh sio mbaya
Hukuwa kihivyo
Hebu icrop ..au futa username yako inaonekana
Nataka
ShangaziiiiiiiMwalimu wa afya[emoji2][emoji2]View attachment 2261397
😂😂😂kwakweli shooo nataka level za juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kuchakata
Thobotooo
Wachaaa bhanaa shooh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakweli shooo nataka level za juu
Wacha wee.!!!Aweee shangazi [emoji91][emoji91]
Ndani ya free size[emoji8][emoji8]
Yeah65 siyo mbaya dear
Hapo na hips zitafika 45
Wengine wanapenda kupewaBahati mbayaa.
Unakuwa uli invest kwa wrong person.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787]Nikupe hela ukamuhonge njemba nyingine huko Nina ushahid
Kuna manzi nilikuwa naenda kwake kulala khee Kuna njemba kaipangishia nililala uvunguni mpka asubuh sitasahau