πππ Dah aseeeh!Mama mimi nasema vizuri tu kama haelewi namtolea na mifano kabisa [emoji23][emoji23] ila sasa lazima na yeye awe vizuri kuna wale hata ukimuelekeza anakuangalia tu
Ndio nataka kuona huo uzuri wake
@Alayna ni shombeshombe fulan hivi toto la kishua mpka kigogo fulan Ali data kwake alitaka kumuweka ndani mtoto ana murano namba DBaadae nikitupia nita watag genetic
Una sauti nzuri [emoji39][emoji120][emoji120]asante
Saluni Jana nimenyoosha tu
Hongera kwake, watu na bahati zao.[emoji23], Mifano ninayo mingi, kuna dada namfahamu anasafirisha ngozi za ng'ombe kwenda Japan, jamaa kamnunulia Nissan Xtrail ya kupigia root za hapa na pale, amempangia nyumba kubwa, pesa ya biashara kapatiwa na jamaa kamfundisha hio biashara, watu wanahonga.
Yaan buku kama buku [emoji2][emoji2] bora nibaki peke yanguYesu nitoe kwenye level ya vocha,loo[emoji23]
[emoji120][emoji120]asante
Saluni Jana nimenyoosha tu
Aah sio kweli mkuu usinisingizie@Alayna ni shombeshombe fulan hivi toto la kishua mpka kigogo fulan Ali data kwake alitaka kumuweka ndani mtoto ana murano namba D
Kuhonga mwanamke ( mama, rafiki ) hiyo sawa haipingwi.. na inakuwa sio kuhonga ni ku invest.. Ila ku invest kwa muhuni hatariπ, Mifano ninayo mingi, kuna dada namfahamu anasafirisha ngozi za ng'ombe kwenda Japan, jamaa kamnunulia Nissan Xtrail ya kupigia root za hapa na pale, amempangia nyumba kubwa, pesa ya biashara kapatiwa na jamaa kamfundisha hio biashara, watu wanahonga.
Huo unywele wifi nitakuja unipunguzie πππasante
Saluni Jana nimenyoosha tu
Wakati una Mercedes-Benz C200 CGI asikusingizie huyo na murano ππAah sio kweli mkuu usinisingizie
Karibu wifiHuo unywele wifi nitakuja unipunguzie π
Asante dearπUnywele umetulia
humu naona mnaitana wifi wifi shemeji shemeji.. mbona hamtutambulishi hao big boys ππKaribu wifi
Actually bora nibaki single(in ishomile voice)Yaan buku kama buku [emoji2][emoji2] bora nibaki peke yangu
Umechelewa huyo mrembo WiFi angu kaka angu anamiliki chombo hikohumu naona mnaitana wifi wifi shemeji shemeji.. mbona hamtutambulishi hao big boys ππ
Ww kubal nikuweke ndaniActually bora nibaki single(in ishomile voice)
Upako Wa na level ya vocha sitaki portable mwenzangu[emoji23][emoji23]
Salama lkn[emoji113]
Hiyo sauti umeisikia wapi jmnπUna sauti nzuri [emoji39]
Ah kidogo tuAsante[emoji8][emoji120]
Ngoja tu ninenepe
[emoji16][emoji16]