Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mabonge hayana shida na mtu yaani. Hakuna gubu. Hakuna mihasira na maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu. Hutakuta eti ni li feminist...Ni kuhondomola tu mema ya nchi yaani. Tena usipokuwa mwangalifu na wewe utajikuta unabongeka hata bila kutegemea.

Na hizi siyo nadharia. Ni practicals kabisa laivu [emoji16][emoji16][emoji16]
Weeeeeeraaaa[emoji126][emoji126] tuna madhaifu yetu pia [emoji13]
 
Back
Top Bottom