Mimi nakupenda saaanaa, japo sijanywa hata Mirinda, naongea nikiwa na akili zangu timamu kabisaa, nakupenda
!!
Hujanigunduaga, nikikukorofisha huwa nakuwa mekorofishana na mtu mimi, naunganisha huko na wewe na fulani na fulani woote navuruga halafu naanza upya!!