Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Thanks love[emoji3059]Beautiful [emoji7]
Thanks love[emoji3059]Beautiful [emoji7]
Asante kipenzi!!Ndo ubaya huu wa kupungua
Mimi nimepungua kidunchu naona hadi kaguu kamerudi kale [emoji23]
Njia nzuri ni mazoezi ili kufanya ili kupunguza ile belly fat
Zoezi hayakukomesha kitambi
burpees
La pili ni crunches
Ona picha kwa chini or you can watch a YouTube video View attachment 2261077View attachment 2261078
Ah jamani bado lipo ilaIli nikivaa nguo ifitie [emoji28]
Siku ukija mkoani, nitafukufundisha mazoezi kwa mwezi mmoja utakuwa flat tumbo 😊🙋Mie pia nataka flat tummy Ebu nipeni mbinuu!! tatizo mie mie nikinenepa tako linaenda sambamba na tumboooo wooii 🤔🤔🤔!!
EeeeNdiwoooo!Lako limeisha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] malizaaaaa malizaaaaa mama matusi yoteeee
Haya angalia lisipungue bhanaAsante kipenzi!!
Mzabzab eeh hivi una nini lakini?. [emoji16]. Usibadilishe Uzi bhanaaKwa tako hili u asema kibamia kilikupa raha[emoji44][emoji44][emoji44] hapa bila nchi sita hutoboii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]pachaako nipo hapa ubaya tako lenyew Sina sasa sijui nin hikiMie pia nataka flat tummy Ebu nipeni mbinuu!! tatizo mie mie nikinenepa tako linaenda sambamba na tumboooo wooii [emoji848][emoji848][emoji848]!!
Hivi hii tabia ya ke kuangalia mizigo ya wenzenu imeanza lini😅😅Haya angalia lisipungue bhana
Unapendeza nalo [emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23]mm natamni nitie neno aiseeHivi hii tabia ya ke kuangalia mizigo ya wenzenu imeanza lini[emoji28][emoji28]
Sisi tunapenda kusifianaHivi hii tabia ya ke kuangalia mizigo ya wenzenu imeanza lini[emoji28][emoji28]
Lipooo, wafikiri limepotea???. Hii Ngoma ya kuzaliwa nayo [emoji1787][emoji1787]Wewe ulikua na trako litraaaammm mamaeeer!!!
Sema tu mrembo..niambie peke angu😂[emoji23][emoji23][emoji23]mm natamni nitie neno aisee
KabisaSisi tunapenda kusifiana
Sasa mtu anacho , why usimpe sifa
Hakika ana shape nzuri .. ana deserve hii compliment
Ah la urithiLipooo, wafikiri limepotea???. Hii Ngoma ya kuzaliwa nayo [emoji1787][emoji1787]
Yaani unaendelea kupigilia msumari inch 12🤣🤣Lipooo, wafikiri limepotea???. Hii Ngoma ya kuzaliwa nayo [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]nimempa heshima yake tuSema tu mrembo..niambie peke angu[emoji23]