Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie pia nataka flat tummy Ebu nipeni mbinuu!! tatizo mie mie nikinenepa tako linaenda sambamba na tumboooo wooii [emoji848][emoji848][emoji848]!!
Ndo ubaya huu wa kupungua
Mimi nimepungua kidunchu naona hadi kaguu kamerudi kale [emoji23]

Njia nzuri ni mazoezi ili kufanya ili kupunguza ile belly fat
Zoezi hayakukomesha kitambi
burpees
La pili ni crunches
Ona picha kwa chini or you can watch a YouTube video
images.jpg
download (3).jpg
 
Back
Top Bottom