Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo labda ile mida ya hatari Bosi Ledi. Nilikuwa naumwa ila leo naona nimepata ahueni sana. Kuna haja ya kusherehekea uponaji kwa kujilipua laivu leo [emoji16][emoji16][emoji16]
Msukuma nitakuninia nihame selfika mazima ujue acha masikhara msukuma please sema hutanii basi!!!
 
We kimodo bana jiondoe haraka kwenye ukibonge. Nyie wanawake wa kisasa wasomi mnaokula kwa nidhamu ili msiharibike miili. Huwa nawaambia kuwa tuonane baada ya watoto wawili hivi...[emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hapo nimewasemea vibonge, mie kimodo kweli. Alafu ungejua nakula hovyo mimi ila mwili ndio umegoma kabisa na ninavyotamani kuongezeka daah sinaga tu namna.
 
Hahahahaaaa!! Msukumaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Vibonge forevaaa Bosi Ledi [emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]


Tumblr_l_750208726880847.jpg
 
Vibonge forevaaa Bosi Ledi [emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]


View attachment 2261054
Sasa km huyu raha iko wapi? Kidogo tyuuh anahema km beberu lilikosa kubambia jike, lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom