[emoji23][emoji23][emoji23] mwee haipo hiyo.Wewe wataka utamu wa ule Uzi wetu uulete huku [emoji1787]. Taratibuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnisamehe nimeacha.
Kumbe ni paja la kuku? Una dhambi [emoji23][emoji23]Ni paja la kuku mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie tayariiii.
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu nimekuona kwene ule uzi wa wakubwa ujue? Unatafuta nini kule ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuona shos uko pambeee hatareeee!!wewe wa mambele huko shos I told you!!😘😉Mie tayariiii.
Acha dhambiUwiii mkuu mimi niliishia la nne,,nilipofeli mtihani wa la nne sikuendelea na shule .
Umeandika lugha gani hiyo?
Nimeelewa tu st Anne.. kwingine kote chenga[emoji2].
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nikisikia vibonge mwili mzima unasisimka yaani sema tu chalenji ni uzee dah!Ohooo vibonge tupo wengiii[emoji1][emoji1].
Vibonge oyeeeee [emoji23][emoji23]Nikisikia vibonge mwili mzima unasisimka yaani sema tu chalenji ni uzee dah!
I wish I could be IGP [emoji848][emoji848][emoji16][emoji16]
Khaaaaah wee kule sahivi hakuna mpyaa, ilikua zaman nililkua sikosi, kumejaaa uwongo na chai zisizo na mpango.[emoji23][emoji23][emoji23] alafu nimekuona kwene ule uzi wa wakubwa ujue? Unatafuta nini kule ??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanzaaaa wee sasa.Nimekuona shos uko pambeee hatareeee!!wewe wa mambele huko shos I told you!![emoji8][emoji6]
Leo labda ile mida ya hatari Bosi Ledi. Nilikuwa naumwa ila leo naona nimepata ahueni sana. Kuna haja ya kusherehekea uponaji kwa kujilipua laivu leo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaaaa!! Msukumaaaaaaaaaaaaaaaa!!Nikisikia vibonge mwili mzima unasisimka yaani sema tu chalenji ni uzee dah!
I wish I could be IGP [emoji848][emoji848][emoji16][emoji16]
Kuch kuch hotaeAsante love[emoji120]
[emoji23][emoji23]kihindi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanzaaaa wee sasa.
Sitoki leo, huenda mbingu zitafunguka.Leo labda ile mida ya hatari Bosi Ledi. Nilikuwa naumwa ila leo naona nimepata ahueni sana. Kuna haja ya kusherehekea uponaji kwa kujilipua laivu leo [emoji16][emoji16][emoji16]