InshaAllahππUpone haraka chief...
Na hutapungukiwa maana Allah kamwe huwa hamtupi mja mtoa sadaka na zaka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Wizo mamboNdio wawe na roho nzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya kuachia wenzao.
Pm hapana..raha ya vocha itumwe hapa hapa.
[emoji419][emoji419][emoji419]Wengi hawayaishi wanayosema humu, cha zaidi ni wame-base kwenye nadharia na sio uhalisia kama usemavyo.
AmenKwa maombi haya @mje inuka uende Bwana amekuponya
Uwiii[emoji2956][emoji7][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wizo mambo
Natoka saluni
Umetupiga kamba[emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090]
AminaππJmn kumbe afya imezingua
Pole sana best
Nakuombea Yesu akuponye na damu ya Yesu inene mema juu yako
Ahsante sana madam boss ladyπππThats good mr vocha elimu haina mwisho!!
Much congratulations!!ππππ
Thobotoooooooooo!!! Ikiwekwa humu ni sandakalawe no way!! zikiwekwa labda nikadaka ten zikiwekwa tena naparangana as usual!! Usintanieeeeππππ!!!Mtumie ubinadamu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Muwaachie wadogo zenu ambao bado wanahustle.
Mkuu huyu ni Kelsea au ni yule jirani yako??Bwana weeernπ¬π¬π¬π¬π¬ Kelsea anakipenda sana hiki.kiatuView attachment 2260965
Jina limepandisha hadhi yako sio?π€£π€£π€£π€£π€£π€£!! Una akili sana wewe msukuma!!ππππ
Nywele zangu zikifika hivo naongea kihindi[emoji1751]hongera dearWizo mambo
Natoka saluni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhimu kujipa likizo aisee..
Wokovu mgumu sana ule chaaa!!
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Imeenda poa sijui wewNipo mkwe.
Siku yako imeendaje?
Mic u shangaz [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shangaz