CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
OkayMbona imekuuma sana mkuu?? Hii bado haiondoi ukweli niliyousema kwamba:-
Kwa hapa Jf tabia ya mtu (iwe nzuri au mbaya) inategemeana na uwezowake mzuri au mbaya wa kuandika mada na comments tofauti na jinsi anavyoonekana huko uraiani kwa wanaomzunguka.
Hii mada mnaijadili kinadharia zaidi bila kangalia uhalisia wa jamii yetu mtaani huko.
Kbsa ShemAfya muhimu sanaaa
πππMuda wa vocha jaman
Pamoja sana.Okay
Kabisa yaaniEeh! Uchepuke kutafuta nini, unachofata nje na ndani kipo ? Mtu mwenye akili timamu hachepuki
Muangalie vichwa kabla hamja kubali.. mbona husband material tupo hapa ila hata PM zetu hazijibiwi π¬π¬Kabisa yaani
Wanaume wengi siku hizi wanajitoa ufahamu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mmh sasa mkianza mambo ya ooh sijui kama kuna mwanamke kadate wanaume zaidi ya watano kumi sijui kutunga ooh comments nzuri nzuri blah blah blah; what do we call that? Kwamba wao hawafai au hawana haki ya kuchangia na kudate kwao kunazuia nini wao kutoa maoni yao? Ndiyo maana hata Biblia imeandika "watoza ushuru na makahaba watawatangulia mbinguni". Kila mtu ana haki ya kuongea, regardless ya status yake; kwa sababu Kila mtu ana maisha yake anayoishi na experiences zake.Sidhani kama kuna mtu yoyote aliyetoa hoja kwa lengo la kum-attack mtu, me sijaona popote ila nilicho observe ni low self-esteem miongoni mwa wachangiaji.
Nilichosisitiza nikujadili mada kwa kuangalia mizizi ya hili tatizo kwenye jamii yetu na sio kupoint out jinsia......brabraa wanaume.....ohhh wanawake...ooh wanaume..... unless tuwe tunatafuta mshindi, kitu ambacho siwezi kushiriki.
Nakudai picha.Ndugu zangu isiwe ugomvi, ni mjadala tu, tusiichukulie personal.
Unazo za kuweka?Muda wa vocha jaman
Muangalie vichwa kabla hamja kubali.. mbona husband material tupo hapa ila hata PM zetu hazijibiwi
Unaniita mkuu unataka uninyime nn ww binti mrembo wa pekee
Wanaogopa vivuli ππMuangalie vichwa kabla hamja kubali.. mbona husband material tupo hapa ila hata PM zetu hazijibiwi π¬π¬
Jibu kwanza swali kama unazo vocha watu tusubiri.Unaniita mkuu unataka uninyime nn ww binti mrembo wa pekee
Yameisha mkuu.Mmh sasa mkianza mambo ya ooh sijui kama kuna mwanamke kadate wanaume zaidi ya watano kumi sijui kutunga ooh comments nzuri nzuri blah blah blah; what do we call that? Kwamba wao hawafai au hawana haki ya kuchangia na kudate kwao kunazuia nini wao kutoa maoni yao? Ndiyo maana hata Biblia imeandika "watoza ushuru na makahaba watawatangulia mbinguni". Kila mtu ana haki ya kuongea, regardless ya status yake; kwa sababu Kila mtu ana maisha yake anayoishi na experiences zake.
Una hoja yako, bring it on the table In a peaceful way, tutajadiliana kwa hoja. Maisha unayoona nadharia, mwingine kwake ni reality, ndiyo uhalisia wake wa sila siku; DIVERSITY. So utu uzima ni pamoja na kukubali kuvisikia hata usivyotaka kuvisikia. Tujadiliane kwa hoja kama watu wazima. Hakukuwa na mashindano so sitegemei kuwa na mshindi wa chochote.
πππ wanakaza sana, acha wakapambane na kina farao huko.. huku kina Yusufu wanatupotezeaWanaogopa vivuli ππ