Selfika na JF: Snap it. Show it




Asante sana mkuu.

Nadharia....!
 
Hakuna aliyetunga au kumfurahisha mwenzake,,, kila mtu anasema anachoona ni sahihi hayo mambo ya kusema uishi hicho unachokiongea it's up to the individual,,, wewe Hayakuhusu,, tulia acha watu wapate wanachoona ni sawa kwao,, stop hatin and judging
 
Wengi hawayaishi wanayosema humu, cha zaidi ni wame-base kwenye nadharia na sio uhalisia kama usemavyo.
 
Mwisho wa siku "ukweli ni ukweli tu, hata kama tunaupinga na tumegoma kuuishi. Mtu aje atunge story au comment nzuri nzuri, kuna kulipwa humu au? Respect diversity; hatuwezi tukawaza au tukatenda sawa dunia nzima. And no one is claiming perfection here; tunajaribu tu kuangalia ni wapi tunapokosea ili tuparekebishe. Mijadala midogo tu, mnataka muanze kuleta na attacks mweeh. Mwisho wa siku Kila mtu ana choice ya maisha yake anayoishi huko nje na ni kati ya yeye na Mungu wake. Lemme save my energy...
 
Mkuu watano umewapendelea, kwa hesabu za haraka amateur ni kuanzia 12 mpaka 20 hapo, kwa normal unazungumzia 30 mpaka 100 humo, magwiji hapo ni kuanzia 100 mpaka 300 kama spidi ya gari za ujerumani.
 
Hakuna aliyetunga au kumfurahisha mwenzake,,, kila mtu anasema anachoona ni sahihi hayo mambo ya kusema uishi hicho unachokiongea it's up to the individual,,, wewe Hayakuhusu,, tulia acha watu wapate wanachoona ni sawa kwao,, stop hatin and judging
Mbona imekuuma sana mkuu?? Hii bado haiondoi ukweli niliyousema kwamba:-

Kwa hapa Jf tabia ya mtu (iwe nzuri au mbaya) inategemeana na uwezowake mzuri au mbaya wa kuandika mada na comments tofauti na jinsi anavyoonekana huko uraiani kwa wanaomzunguka.

Hii mada mnaijadili kinadharia zaidi bila kangalia uhalisia wa jamii yetu mtaani huko.
 
Huyo si mume ni gaidi.
Mume ni baba, mshauri, mwelekezaji na aliyejaa mapenzi tele
 
Sidhani kama kuna mtu yoyote aliyetoa hoja kwa lengo la kum-attack mtu, me sijaona popote ila nilicho observe ni low self-esteem miongoni mwa wachangiaji.

Nilichosisitiza nikujadili mada kwa kuangalia mizizi ya hili tatizo kwenye jamii yetu na sio kupoint out jinsia......brabraa wanaume.....ohhh wanawake...ooh wanaume..... unless tuwe tunatafuta mshindi, kitu ambacho siwezi kushiriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…