Selfika na JF: Snap it. Show it

wapo wengi tu wasio chepuka na wana kila kitu kinacho wezesha kuchepuka. Ukiona mabaya mengi pia mazuri ni mengi. Kuchepuka ni tatizo la akili zaidi na wala sio tamaa kama wengi mnavyo hisi.. Ukiona mwenza anachepuka inabidi akapimwe akili
Wapo wanaume wengi tu wameamua kutokuchepuka. Ni vile tu tunapenda kuhalalisha uzinzi ndiyo maana tunaona kama haiwezekani kuchepuka na tunawavunja moyo wasiochepuka. Na kwa mmomonyoko mkubwa wa maadili uliopo na kukosa hofu ya Mungu; ndiyo maana tunaona kama mtu asipochepuka basi ana matatizo. Na sisi Wanawake tunavyoabudu ndoa; we have been settling with serial cheaters in the name of all men cheat nonsense. Pathetic
 
For better for worse?? Hakuna mwanaume ambaye unamfanyia kituko once akahamia kwa mchepuko,,, lazima uwe na series za matukio hadi yeye mwenyewe anyanyue mikono juu,,,
 
For better for worse?? Hakuna mwanaume ambaye unamfanyia kituko once akahamia kwa mchepuko,,, lazima uwe na series za matukio hadi yeye mwenyewe anyanyue mikono juu,,,
Mmmh wanaume wa kupigwa series ya matukio wako wapi? Mbona unakula talaka mapema sana? Yaani mwanamke kosea tu kidogo, ushatafutwa mchepuko; ndiyo sembuse ulete maigizo?
 
Sio kwamba wanawake wana abudu ndoa. Tatizo lipo kwenye foundation. Mwanamke ni receiver, Mwanaume ana nafasi kubwa ya kumjenga mwanamke na kummbomoa. Mwanamke kuwa apendavyo mwanaume wake.. inabidi mwaume ajue anahitaji nini kutoka kwa mwenza wake then amjenge sawa sawa na na anavyotaka kamwe hato ona mapungufu kwa mpenzi wake. Shida watu siku hizi wanapenda viliyo undwa, sasa mie niki muunda mwanamke ukikaa nae wiki moja tu utakufa kwa pressure .. maana mtu wangu lazima awe mshari sana na ndio navyo muunda hivyo.. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ sasa huyo nikiachana nae atae kuja kukaa nae lazima aondoe ushari na aweke upole bila hivyo hawezi ishi nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…