Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Ni kweli, wanajisahau sana, kauli zinabadilika, msosi wanaanza kulipua, hata hajirembi kama zamani, wanatuonea tu.Effort huisha the moment unasema yes i do,,, baada ya hapo wanaona wana assurance that you won't do sh*t hata waharibu kiasi gani
Hiyo siku niliwaza mengi sana.Pole sana, afya yake ya akili haikuwa sawa.
Hahaha ni mapito ya maisha tu, na jinsi sisi wanaume tulivyo si ajabu ulishawahi kuwa mchepuko wa mwaaume fulani bila kujua.Angekumaliza ili iwe fundisho kwa wote mnaojidai mna tamaa sana hamtulii na wake zenu tu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni kwa sababu mwanaume anaweza kuchepuka na akaleta ka mahitaji nyumbani na ka heshima kwa mke na watoto kapo constant, ile nyie once mkianza michepuko mnaanza dharau na visa.Hata wanaume mnajisahau sana tu pia. Ni vile tu uzinzi haujahalalishwa kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.
And maisha ya dating na maisha ya ndoa/familia; Yana utofauti mkubwa sana. Msipokuwa na maturity na hekima ya kutosha mmmmmh...
Kuna mwamba alimchana mke wakeNi kweli, wanajisahau sana, kauli zinabadilika, msosi wanaanza kulipua, hata hajirembi kama zamani, wanatuonea tu.
Bora sisi Wazee hayo mambo ya kuchepuka hatuna ππππTeh teh lakini watu hawakomi kuchepuka Cha kushangaza.
Wanajisahau sana hawa, japo kuna wanaume umalaya upo damuni, lakini kuna cases za wanawake kujisahau nyingi kwenye ndoa.Kuna mwamba alimchana mke wake
I love you,, but i am not attracted to you anymore,, mbona fasta tu binti akajirekebisha
Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.Ni kwa sababu mwanaume anaweza kuchepuka na akaleta ka mahitaji nyumbani na ka heshima kwa mke na watoto kapo constant, ile nyie once mkianza michepuko mnaanza dharau na visa.
Ila ukweli mnajisahau sana.
Communication...Kuna mwamba alimchana mke wake
I love you,, but i am not attracted to you anymore,, mbona fasta tu binti akajirekebisha
Maleziii maleziii... Mchepuko halei so muda wote atakuwa active.Tatizo wengi wenu mnajisahau sana kwenye ndoa.
Waendelee kabisa.... Eti nyumba ndogo. Anasapoti mwenzie kutesekaaaAisee sitaki hata kupata picha hilo tukio. Na waendelee kupatwa na mabalaa huko nje.
Nyimbo nyingine ni za kusifia ujinga
Uzuri na wenyewe huwa wanapandishwa vyeo piaWaendelee kabisa.... Eti nyumba ndogo. Anasapoti mwenzie kutesekaaa
Kabisa,,, inahitajika hekima kubwa. Mama ndiye muhusika mkuu kutazama familia yake, unatoka kazini wakuta Kazi zote zinakuelemea ww. Ni lazima mambo mengine utayapunguza tuu...Hata wanaume mnajisahau sana tu pia. Ni vile tu uzinzi haujahalalishwa kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.
And maisha ya dating na maisha ya ndoa/familia; Yana utofauti mkubwa sana. Msipokuwa na maturity na hekima ya kutosha mmmmmh...
Sawasawa jirani..Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.
Mawasiliano ni kitu Cha msingi sana; kuna tofauti/walakini kwa mwenzi wako, funguka ongea naye. Tatizo nyie mnatafuta justification ya kuchepuka, so likitokea jambo kidogo tu ushadaka mchepuko. Nguo imefuliwa, haijatakata unadaka mchepuko, huo mchepuko ni washing machine? Chakula kimepikwa vibaya, ushatafuta mchepuko ambao mnakutaniana restaurant na kumaliziana lodge; vichekesho. Cheating is a choice; some people choose to cheat no matter how good it is, and others decide not to cheat no matter how bad it is. You vowed "for better or for worse", right?
Bora sisi Wazee hayo mambo ya kuchepuka hatuna
Anhaa kwa hio mnatumia kigezo cha kula kiapo?Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.
Mawasiliano ni kitu Cha msingi sana; kuna tofauti/walakini kwa mwenzi wako, funguka ongea naye. Tatizo nyie mnatafuta justification ya kuchepuka, so likitokea jambo kidogo tu ushadaka mchepuko. Nguo imefuliwa, haijatakata unadaka mchepuko, huo mchepuko ni washing machine? Chakula kimepikwa vibaya, ushatafuta mchepuko ambao mnakutaniana restaurant na kumaliziana lodge; vichekesho. Cheating is a choice; some people choose to cheat no matter how good it is, and others decide not to cheat no matter how bad it is. You vowed "for better or for worse", right?
Hao wanawake wa kuchepuka hadi kujisahau, nafikiri ndiyo wapo at the verge of extinction. Hawa wa sasa hivi wamekubuhu; wanachepuka na hupati hata sababu ya kuwadoubt; ukirudi home ni shwari hakuna makelele kama zamani.
Mawasiliano ni kitu Cha msingi sana; kuna tofauti/walakini kwa mwenzi wako, funguka ongea naye. Tatizo nyie mnatafuta justification ya kuchepuka, so likitokea jambo kidogo tu ushadaka mchepuko. Nguo imefuliwa, haijatakata unadaka mchepuko, huo mchepuko ni washing machine? Chakula kimepikwa vibaya, ushatafuta mchepuko ambao mnakutaniana restaurant na kumaliziana lodge; vichekesho. Cheating is a choice; some people choose to cheat no matter how good it is, and others decide not to cheat no matter how bad it is. You vowed "for better or for worse", right?
Hatutumii kama kigezo; but muelewe kuwa kuna mazuri na kuna mabaya/madhaifu. So ikija kwenye mabaya/changamoto, don't resort to cheating; ongeeni myajenge. Hakuna maisha yasiyo na changamoto.Anhaa kwa hio mnatumia kigezo cha kula kiapo?
CAPTORHINOMORPHS njoo unisaidie.
Mungu azidi kutupa hekima.Kabisa,,, inahitajika hekima kubwa. Mama ndiye muhusika mkuu kutazama familia yake, unatoka kazini wakuta Kazi zote zinakuelemea ww. Ni lazima mambo mengine utayapunguza tuu...
Lakini wanaume wao ye akishakamilisha mambo ya pesa Nyumbani ndiyo basi hiyo. Ndo mn wanalalamika kuwa eti tunajisahau.