Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Dah nimecheka hatari!Tena ukuje kbisa na iyo rangi mweee
Mtu anauza pamba anahama na kwake anarudi ela ikiisha[emoji23][emoji23]
Nutairudia mkwe asubuhi now nasinziaWengi ilitupita.
Mpwa unaweza kuirudia? [emoji1545]
Shangazi???Hahha nimecheka kidogo nifwariki shavu ilo aunt sinadimpoz
Daaah, Columbia Baby.....!Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja mbona inawezekana kabisa?
Ila kama ni postgraduate hakikisha una angalau first class kwenye Bachelor yako na uwe na barua zako za recommendation ziandikwe vizuri.
Nilishawahi kukaa kwenye selection committees za baadhi ya hawa sponsors naweza kukupa mwongozo wa kiundani kama uko siriazi mjukuu.
Kapita na vocha yako dogo!!Dogo km Dogo.
Nomaa sanaa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Duh ngoja niitafute au ushafuta?Kwema
Mbna nimeselfika mida hii tu
Niombee na mimi mdogo wanguPuliiiiiz hii ya Engineering babuuuh, nifanyie mpango serious.
Ubaya sasa asubuhi mi ndo najiandaa kulala [emoji24]Nutairudia mkwe asubuhi now nasinzia
Selfika na #halotel#
*104*5984805146871#
Tina nikumbushe basi mremboDuh ngoja niitafute au ushafuta?
Selfika na #halotel#
*104*5984805146871#
Hauko serious!!
Ni ya voda ee?Nadai vocha yangu tangu juzi jmn
Hahaa, kina Tuntufye, Sikajako na Suma....Hivi kuna mabinti wa Kinyaki humu?
Maparachichi ninayo!
Njooni niwagusishe nalo! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2259817
Tena?Hauko serious!!
Naona dogo keshaiwahiSina miguu kwa kweli.
Umeshindaje auntie[emoji2][emoji2]
Darasa linaanza soon...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena ukuje kbisa na iyo rangi mweee
Mtu anauza pamba anahama na kwake anarudi ela ikiisha[emoji23][emoji23]