Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,871
- 37,644
MjepMadam miakili gani tena, naona hapa mtasababisha nisipewe fursa hivi hivi
Ahadi yangu haijatimizwa mpk wa leo
Ila nimekumiss
MjepMadam miakili gani tena, naona hapa mtasababisha nisipewe fursa hivi hivi
Kumbe unaitwa Ramar??? 🤔🤔🤔😉😉Lamaa
Aah basi nilihisi umegonga heels leoKuona nini mama pasta?? Hio sio heel kabisa![]()
Haya Wii, nitasubiriWizo nisamehe cm mwenzangu
Nime restore
Kumbe ulichelewa kuona ile kitenge
Basi kesho usijali
Manaake hapa mok niingie google photo nipakue picha
Madam nikumbushe hapa tafadhaliMjep
Ahadi yangu haijatimizwa mpk wa leo
Ila nimekumiss
Kama umesahau basiIpi hiyo
Madam nikumbushe hapa tafadhali
Naomba unikumbushe tafadhali rafiki yangu kipenziKama umesahau basi
Natafuta picha yenye engo ya kisigino nikuoneshe mama pasta weee nivae heels nikufee milonjo yangu hiii hapana!Aah
Aah basi nilihisi umegonga heels leo
Anafikiri Education ya Engineering ya Tokyo English mchezo?Unataka kwenda
Tokyo english engineering education course college
Utaweza![]()







Hahahaaa!!Madam miakili gani tena, naona hapa mtasababisha nisipewe fursa hivi hivi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimerudiiiiii. Kuna mambo yangu?Heaven Sent umeshaenda kurara???
Sijambo Mkuu, habari za siku tele?Li Babu la mchongo
Habari yako bhana
Mid heels mbona unavaa comfortably kabisaNatafuta picha yenye engo ya kisigino nikuoneshe mama pasta weee nivae heels nikufee milonjo yangu hiii hapana!
SYBAnafikiri Education ya Engineering ya Tokyo English mchezo?![]()
Sijambo Mkuu, habari za siku tele?
Naona umewaficha wajukuu zangu wote, Kila nikiwaambia waninunulie Miwani niwe nasoma soma JF wanaishia kunihaidi ila kuniletea hawaji![]()

Na hapa ndipo kijijini kwako