π€π€ Karibu Alicia Keys. naona hii umeogopa basi upate zawadi ya bundle la mwezi mzima πππNzuri mnoo jamani ubarikiwe baba pasta wewe ni mtu mzur sana ππ
Makoti yapo karibuNilitaka niende km ndo Ivo nimeghairi
Nikubwa mnoo jamani asante sanaaπ hapo kwa bando sasa ndio penyewe ππ€π€ Karibu Alicia Keys. naona hii umeogopa basi upate zawadi ya bundle la mwezi mzima πππ
Haya basi utapata la mwezi mzimaNikubwa mnoo jamani asante sanaaπ hapo kwa bando sasa ndio penyewe π
Nitashukuru sana πHaya basi utapata la mwezi mzima
Bando lako sili post hapa nalituma huko ππNitashukuru sana π
Ubarikiwe kwa kweli
Sukuma kutupambanisha na nshomile utatuonea tu Bosi Ledi. Tupe miaka kama 10 hivi mbele ya safari huko labda [emoji16][emoji16]Nshomile ni nukseeeeeeeeee
Kasingeee munoooo mjomba kwa kumbariki mrembo wetu Alicia!!!!
Wapi team sukumas
Shimba ya Buyenze Wigelekelo
Nshomiles Vs Sukumas
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Una enjoy ShangaziSnap it show it!View attachment 2259564
Metadata tuliza mshono π!
Hapo Chombo kinapepeaaa juu kwa juu msukuma Fanyeni namna asee!!Sukuma kutupambanisha na nshomile utatuonea tu Bosi Ledi. Tupe miaka kama 10 hivi mbele ya safari huko labda [emoji16][emoji16]
Mnooooo!! Tunaandaa UMISETA mjomba!!Una enjoy Shangazi
Kwa ulaji huo utafanya nikuulize siku utakazokuja kukaa huku Kijijini ukija kunitembelea Babu yako wakati wa Likizo, huchelewi kumaliza debe zangu za ungaπ€ͺπ€ͺπ.Huo ugali mchache sana.
Nimependa hayo mazingira, yamenirudisha nyuuuma sana.. zamani ilikuwa nzuri sasa hivi vita sanaaaMnooooo!! Tunaandaa UMISETA mjomba!!
Njema kabisa mkuu jioni njema na kwako bossJioni njema wadau..
Ina maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi [emoji85][emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2259453
Ningekuwa bado kwenye gemu labda ningejaribu kupambana. Nishastaafu rasmi na hizo purukushani na badala yake nimejikita kwenye kutoa ushauri nasaha tu kwa mambo mbalimbali yanayowahangaisha vijana.Hapo Chombo kinapepeaaa juu kwa juu msukuma Fanyeni namna asee!!
Kabisa mjomba sikuhizi washindi wanakua washachaguliwa mapemaaaa mashindano ni kutimiza wajibu tu mjomba!Nimependa hayo mazingira, yamenirudisha nyuuuma sana.. zamani ilikuwa nzuri sasa hivi vita sanaaa
πππSukumas tatizo inaonekana wabahiliiii hapo mbona utaibuka kidedea waitu hapana chezea nshomile Wewe!!
Huku salama jirani. Poleni na baridi huko. Nilipita juzi huko duh!Mkuu....kwema huko.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ ukute wao ndio wameibuka kidedea hukoNingekuwa bado kwenye gemu labda ningejaribu kupambana. Nishastaafu rasmi na hizo purukushani na badala yake nimejikita kwenye kutoa ushauri nasaha tu kwa mambo mbalimbali yanayowahangaisha vijana.
Hii kesi wapelekee Wige na Ely. Wameniangusha sana!