Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,377
Wizo nasubiri hicho kitenge.Hii ni jumpsuit ila gauni inajitegemea na trouser ndani inajitegemea
Sema sina picha yake iliyokaa vzr
Nitairudia uione
Jump suit, ni kareee.Hii ni jumpsuit ila gauni inajitegemea na trouser ndani inajitegemea
Sema sina picha yake iliyokaa vzr
Nitairudia uione
ππ basi tumeisha litwaa jimboo ..Hilo linaeleweka mbona?
Nshomile muweke na Mangi huko ndo wanaelewana. Wasukuma sisi saizi yetu Wakurya na Wakara labda!
Na ulivyo msumbufu, bora ulivyovikosa tu
Woyeeeeee.Jump suit, ni kareee.
Nyie juzi nilienda kwa fundi, kuangalia anavyoshona, kheeeh alipofikia yaan nkajisemea mambo ndo haya sasa.
Lazima nitetemeshe uzi, mtake msitake,
Mustard yellow woyeeeeeeeeeeeeeh, color 1 ya kibabeeeeee.
Mwakora abalangira bonabasi tumeisha litwaa jimboo ..
Kheeeeeh unawafundisha njukaz wa uzamivu? Babuuuuh nifanyie mpango nizamie huko niwe nawapiga brushi wa uzamili.Poa Boss Lady. Mi niko poa kabisa. Mwalimu mwenzio hapa niko nasahihisha mamitihani na kusoma madissertation ya watu ili wafaulu wapate mashahada ya uzamivu huko!
Wasukuma yaani aibu tupu safari hii. Jimbo limekuwa wazi karibia huu mwezi wa tatu sasa na wamepewa nafasi ya upendeleo sana. Sasa hata sijui wanakwama wapi yaani. Akina Wige waje wajitetee!
Nice to have you back!
Ah ndo tulivyo watanzania
Ukiiweka tu unalo
Wengine hawapendi kumuona mtu ametoboa matundu mengi sikioni wanamuangalia mara mbili
Poa Boss Lady. Mi niko poa kabisa. Mwalimu mwenzio hapa niko nasahihisha mamitihani na kusoma madissertation ya watu ili wafaulu wapate mashahada ya uzamivu huko!
Wasukuma yaani aibu tupu safari hii. Jimbo limekuwa wazi karibia huu mwezi wa tatu sasa na wamepewa nafasi ya upendeleo sana. Sasa hata sijui wanakwama wapi yaani. Akina Wige waje wajitetee!
Nice to have you back!
UmeshaipataaaaNipe location
Uwage unachukua bhana,Woyeeeeee.
Juzi kuna nyingine nilikutana nazo mtandaoni huko, nikakukumbuka mama hekaheka
Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.Kheeeeeh unawafundisha njukaz wa uzamivu? Babuuuuh nifanyie mpango nizamie huko niwe nawapiga brushi wa uzamili.
Mwambie fundi apunguze kuchachaww, mambo bado mabichiiiiUwage unachukua bhana,
Ila mustard yellow ni nyokooooooooh. Yaan ile nikiiweka mwilini lazima niuzee.
Fundi anauliza rangi alikuchagulia nan na huu mshono umeutoa wapi? Anauliza nae ni fundi,. Nkamuambia wee hebu toa kitu, angekua fund ningeleta kwako?
Yaan anachachawa mnooooo,
Nataka kusikia kutoka mdomoni mwako Binti Abiud.Can't wait weeweeeee
Yaan wee acha tyuuh.Mwambie fundi apunguze kuchachaww, mambo bado mabichiiii
Nikionaga Stanford udenda unanitoka ni chuo pekee duniani ambacho nakipenda hadi kesho.. ila basi ndoto zenyewe zisha shift sana.. tutajiendeleza humu humu kibabe babe..Scholarships mbona zipo kibao? Na hawa jamaa hakuna cha nepotism mambo ya shangazi wala mjomba. Kila kitu kiko online ukitimiza masharti yao basi huna shida wanakufanyia kila kitu.
Elimu yao ni nzuri sana kwa kweli na mavyuo mashuhuri kama Harvard, Princeton, Columbia, Yale na Stanford wana program maalum za kusomesha vijana kutoka Afrika. Cha muhimu tu uwahakikishie kuwa utarudi home baada ya kumaliza masomo yako. Ukiwa kwenye mambo ya afya (MD, Public Health, Microbiology...) na Uchumi na nyanja zingine zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja ni nzuri zaidi.
Juu ya kigogoWizo nasubiri hicho kitenge.
Hii si Ile ulikuwa umekaa kama juu ya jiwe hivi?
Ina maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi
View attachment 2259453
Chonka bojo wasukuma mwabaki si?? mjombaNataka kusikia kutoka mdomoni mwako Binti Abiud.
Ni kweli jimbo limeshatwaliwa na akina nshomile? Wasukuma tutaweka wapi nyuso zetu na majigambo yao yale?
Twafa bojooo