Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,837
Ina maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi [emoji85][emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nimemrudia maana wasukuma siwaelewi kabisa[emoji16][emoji16]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Shimba umeanza vituko vyako hahahahH!!!Ina maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi [emoji85][emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2259453
Ilikaa sana sio mbayaIlikaa km miezi miwili, sema nilikua nasafisha mda wote,
Nlikua najistukia yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadae ntakuwekea shangazi.Yaan mm sijui nipoje nikitoka ndo mnaselfika
Wizo ndiyo naingia hapa, please naomba urudie picha yangu jamani uwiiiiNimemrudia maana wasukuma siwaelewi kabisa[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sijui nna tatzo lipi, kucha hazikui,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha-haIna maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi [emoji85][emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2259453
Poleeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sijui nna tatzo lipi, kucha hazikui,
Hamuwezi shindana na kina nshomile πππIna maana madogo akina Wige hawajachangamkia hili jimbo? Hii aibu sasa kwa Wasukuma hii wallahi [emoji85][emoji85][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2259453
Yaan wee acha tyuuh, nilikua najistukia sanaaa.Ilikaa sana sio mbaya
Sema watu wana perceive vibaya mtu mwenye tattoo .
Tenaaa wee ndo unaniumizaga, daah hongereni tyuuh.Poleeeeee
ππππHamuwezi shindana na kina nshomile πππ
Poa Boss Lady. Mi niko poa kabisa. Mwalimu mwenzio hapa niko nasahihisha mamitihani na kusoma madissertation ya watu ili wafaulu wapate mashahada ya uzamivu huko![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shimba umeanza vituko vyako hahahahH!!!
Habari za uzima!!
Na ulivyo msumbufu, bora ulivyovikosa tuππππTenaaa wee ndo unaniumizaga, daah hongereni tyuuh.
Iiweeeeeeehh!π€£π€£π€£π€!!Hamuwezi shindana na kina nshomile πππ
wenye wivu wajirushe mbinguni kwa Yesu eeh πππππππππ
Hilo linaeleweka mbona?Hamuwezi shindana na kina nshomile [emoji1][emoji1][emoji1]
Ah ndo tulivyo watanzaniaYaan wee acha tyuuh, nilikua najistukia sanaaa.
Nimeamini hata uwe mshenzi vipi, ila tattooo ni kikomo unadhararuliwa had unyayo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]