Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jun 13, 2022 #216,081 Strawbella said: Nachanganya inategemea na mood.... Click to expand... Binamu wanne inapanda nilete?
Strawbella JF-Expert Member Joined Mar 24, 2021 Posts 1,758 Reaction score 5,803 Jun 13, 2022 #216,082 Glenn said: Binamu wanne inapanda nilete? Click to expand... Inapanda fresh kabisa ile nyeupe...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,083 cocastic said: Mie ndo nimenyimwa kucha mwenzenu, nataman sana kulipuka tatizo sijajaliwa, nilijaribu kipindi fulaan mmmh nkaona niache tyuuuh. Click to expand... Uwe unazifuga shos zitakua tu mbona!
cocastic said: Mie ndo nimenyimwa kucha mwenzenu, nataman sana kulipuka tatizo sijajaliwa, nilijaribu kipindi fulaan mmmh nkaona niache tyuuuh. Click to expand... Uwe unazifuga shos zitakua tu mbona!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jun 13, 2022 #216,084 Tinsley said: Sahihi Yeah za mjini huko kwa wajanja Click to expand... Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah
Tinsley said: Sahihi Yeah za mjini huko kwa wajanja Click to expand... Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jun 13, 2022 #216,085 Antonnia said: Asante shos!! Click to expand...
Omerta JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 6,156 Reaction score 7,810 Jun 13, 2022 #216,086 cocastic said: Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah Click to expand... Mshauri akamuone Dermatologist
cocastic said: Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah Click to expand... Mshauri akamuone Dermatologist
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,087 cocastic said: Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jun 13, 2022 #216,088 Antonnia said: Uwe unazifuga shos zitakua tu mbona! Click to expand... Kucha had kukua ilichukua miezi km 5 hivi ndo kuonekana, akati wengine mwezi tyuuh wana shine, Labda nianze upya tena.
Antonnia said: Uwe unazifuga shos zitakua tu mbona! Click to expand... Kucha had kukua ilichukua miezi km 5 hivi ndo kuonekana, akati wengine mwezi tyuuh wana shine, Labda nianze upya tena.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jun 13, 2022 #216,089 Strawbella said: Inapanda fresh kabisa ile nyeupe... Click to expand... Basi jiandae nitamuomba Antonnia anisindikize nije ushuani😅😅🤣🥂
Strawbella said: Inapanda fresh kabisa ile nyeupe... Click to expand... Basi jiandae nitamuomba Antonnia anisindikize nije ushuani😅😅🤣🥂
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,090 cocastic said: Kucha had kukua ilichukua miezi km 5 hivi ndo kuonekana, akati wengine mwezi tyuuh wana shine, Labda nianze upya tena. Click to expand... Hahahaaa... hapo kweli una kucha za kubip shos!
cocastic said: Kucha had kukua ilichukua miezi km 5 hivi ndo kuonekana, akati wengine mwezi tyuuh wana shine, Labda nianze upya tena. Click to expand... Hahahaaa... hapo kweli una kucha za kubip shos!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jun 13, 2022 #216,091 Omerta said: Mshauri akamuone Dermatologist Click to expand... Labda nimshauri hivyo.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jun 13, 2022 #216,092 Strawbella said: Inapanda fresh kabisa ile nyeupe... Click to expand... 4 hivi wanatosha au? Mie ntakuja na yangu nyekundu. Antonnia yeye soda inamtosha🥤na juice
Strawbella said: Inapanda fresh kabisa ile nyeupe... Click to expand... 4 hivi wanatosha au? Mie ntakuja na yangu nyekundu. Antonnia yeye soda inamtosha🥤na juice
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,093 Glenn said: Basi jiandae nitamuomba Antonnia anisindikize nije ushuani Click to expand... Niko hapa mkuu nitakusindikiza popote pale mie teinnnaaaa!!!!
Glenn said: Basi jiandae nitamuomba Antonnia anisindikize nije ushuani Click to expand... Niko hapa mkuu nitakusindikiza popote pale mie teinnnaaaa!!!!
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jun 13, 2022 #216,094 Antonnia said: Niko hapa mkuu nitakusindikiza popote pale mie teinnnaaaa!!!! Click to expand... Swali...nawe unatumia wa shetani au soda
Antonnia said: Niko hapa mkuu nitakusindikiza popote pale mie teinnnaaaa!!!! Click to expand... Swali...nawe unatumia wa shetani au soda
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Jun 13, 2022 #216,095 Antonnia said: Hahahaaa... hapo kweli una kucha za kubip! Click to expand... Yaan wee acha tyuuh, kwa mfano nikianza kufuga leo, ili nije kuwaringishia humu ni November au December. Mama ananambiaga ungepewa kucha wee, tusingepumua mtaani, Mungu akasema wee kucha nakunyima. Ila nikiwa mvumilivu zinakua bombaaa, tatizo kusubiri aaaah.
Antonnia said: Hahahaaa... hapo kweli una kucha za kubip! Click to expand... Yaan wee acha tyuuh, kwa mfano nikianza kufuga leo, ili nije kuwaringishia humu ni November au December. Mama ananambiaga ungepewa kucha wee, tusingepumua mtaani, Mungu akasema wee kucha nakunyima. Ila nikiwa mvumilivu zinakua bombaaa, tatizo kusubiri aaaah.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,096 Glenn said: 4 hivi wanatosha au? Mie ntakuja na yangu nyekundu. Antonnia yeye soda inamtoshana juice Click to expand... kabisaaaa mie ni soda juice na na maji tu nalewaaa hatariiii!! Hivi vingine sio mteja kabisa mimi!
Glenn said: 4 hivi wanatosha au? Mie ntakuja na yangu nyekundu. Antonnia yeye soda inamtoshana juice Click to expand... kabisaaaa mie ni soda juice na na maji tu nalewaaa hatariiii!! Hivi vingine sio mteja kabisa mimi!
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,097 Glenn said: Swali...nawe unatumia wa shetani au soda Click to expand... Mie wa soda tu Ndugu yangu huko kwingine labda kama mnataka kunifundisha na shangazi Strawbella!
Glenn said: Swali...nawe unatumia wa shetani au soda Click to expand... Mie wa soda tu Ndugu yangu huko kwingine labda kama mnataka kunifundisha na shangazi Strawbella!
Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Jun 13, 2022 #216,098 cocastic said: Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah Click to expand... Inaharibu sana kucha ukipaka muda mrefu Inabidi upate ile og la sivyo kucha zinakuwa mbaya hasa za miguuni . Mimi pia sijaweka tena ,nipo napaka zangu rangi tu ..
cocastic said: Kuna dada alipakaga hennah, bhana wee kucha zake ziliharibika kuchakaa kila akiosha hazing'ai, kila akiweka rangi zinabuma, sahivi kaacha, anajilaumu hataki hata kusikia kuhusu hennah Click to expand... Inaharibu sana kucha ukipaka muda mrefu Inabidi upate ile og la sivyo kucha zinakuwa mbaya hasa za miguuni . Mimi pia sijaweka tena ,nipo napaka zangu rangi tu ..
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,274 Jun 13, 2022 #216,099 Antonnia said: Mie wa soda tu Ndugu yangu huko kwingine labda kama mnataka kunifundisha na shangazi Strawbella! Click to expand... Strawbella unaitwa huku na denti
Antonnia said: Mie wa soda tu Ndugu yangu huko kwingine labda kama mnataka kunifundisha na shangazi Strawbella! Click to expand... Strawbella unaitwa huku na denti
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,335 Jun 13, 2022 #216,100 myoyambendi said: Click to expand...