Selfika na JF: Snap it. Show it

Og ni zipi sasa?
Bongo hapa shida tu [emoji23]
Ya bei kidogo nahisi ndo nzuri tofauti na hiyo ya buku jero .

Nilipaka continuous hiyo ya 1500 baada ya muda kucha inaharibika fulani hivi....Hata hivyo inategemea na salooni unayoenda kupaka hiyo henna , sio hizi za uchochoroni [emoji23][emoji23]

Au unaweza kwenda hawa henna artist kabisa kwa huduma nzuri zaidi

Ngoja wataalamu waje kutupa info zaidi
 

Oohh sawa
 
Unaenda zile saloon kubwa, pale ndo uhakika, wa bara baran ni miyeyusho tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…