Selfika na JF: Snap it. Show it

Usije nifia nikapata kesi bure, bado naupenda ugari wa mama yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan unakutana na hao lenazi, afu unanifananisha na mie? Wee endelea kupambana vi 1St yr visivyojua hata kustua mshipa uti wa mgongo, ndo level na uwezo wako unapoishia, huku kwingine waachie wakali wa hizi kazi.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…