Weeeehhh hapana bana wewe mtu peace sijawahi ona! Hauna mbambambaa kabisa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nikiwepo kat ya hao wavurugaji, tena ndo kiongozi unaambiwaa. Uwiiiii ila JF jomonee.
Kwani umetokea mkoa gani? Ila Ushauri wangu usiige tabia za Wana dar maana wengi wao maadili hawana nyinyi wa mkoani mna kitu fulani hiv kizuri ni hilo jambo mmebarikiwa sanaAcha tu mkuu!!! Nishakua mwananzengo wahuku ikitokea nimeenda kusalimia Ndugu Zangu ni wananichekajeee hadi rafudhi ya kijijinijijini Uwiii!!
Weraaaaaaaaaah weraaaaaaaah.Weeeehhh hapana bana wewe mtu peace sijawahi ona! Hauna mbambambaa kabisa!!!
Anyways! Selfii ziendelee!!
Nasubiria suti yako nikurushie kama picha zitakuepo mie nipe maelekezo
Hahahaaa!!! Asante ushauri nimeuchukua mkuu!!Kwani umetokea mkoa gani? Ila Ushauri wangu usiige tabia za Wana dar maana wengi wao maadili hawana nyinyi wa mkoani mna kitu fulani hiv kizuri ni hilo jambo mmebarikiwa sana
Kipitie binaShoga naomba kiatu hichooo
Uache basi mambo yakoDah!
Wow, this means a lot jamani.🙏🙏🙏Ni mzuri kichwani zaidi, kichwa kinachaji.
Heaven Sent
Nkamu nijaze tu ila tusije tu tukaombana vyeti, maana nitaumbuka. 😂😂😂Hujakosea mkuu
Hapa namba zimetulia zenyewe zikasalimu amri, ukiona mwanamama namba zimekaa kichwani jua hicho kichwa siyo cha mchezo kabisaaa
Shangazi; you are missed loads[emoji7][emoji7]
Mama mchungaji kiatu on point kama kawa...
Ni skirt, tena pleated, unavaa hadi faraghani. Kwa hiyo nguo za kunipora zimefika ngapi?😏😏Hili gauni/sketi lazima nikupore.
Hii ni ya tatu tu!Ni skirt, tena pleated, unavaa hadi faraghani. Kwa hiyo nguo za kunipora zimefika ngapi?[emoji57][emoji57]
Jirani hujamboHii ni ya tatu tu!
..hadi zifike 20
Uje uninong'oneze ya tatu ni ipi. Maana nakumbuka tu Ile red skirtHii ni ya tatu tu!
..hadi zifike 20
Sijambo,Jirani hujambo
Hii ni ya 3.Uje uninong'oneze ya tatu ni ipi. Maana nakumbuka tu Ile red skirt
Yaani ulivyosema under 20 ndiyo nikaelewa sasa. Nilikuwa nishajizeekea pale mbonaHii ni ya 3.
Ya pili ni ile gauni ya under 20.
[emoji3]Yaani ulivyosema under 20 ndiyo nikaelewa sasa. Nilikuwa nishajizeekea pale mbona