Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mbinu zipo bhana [emoji1787]Vijana wamekosa mbinu kabisa!
Mbinu zipo bhana [emoji1787]Vijana wamekosa mbinu kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo nimeamka
Nkavamia comment [emoji23][emoji23]
Thank you for noticing thatUko composed sana tu
Basi naona iwe kawaida tu Ndugu katibu haya wajumbe selfii ziendelee 1 2 3 les goo!!Tuwashirikishe ndugu wajumbe Leo mwendo uweje!! Kama wapo willing!! Twende kazi kama wanaiba waume na wake za watu tuweke shadow!! 😂 😂 , tunaodaiwa chonde chonde wadeni wetu wapo humu!!
Ndio MkuuTaken! right??
Weee baki hapo unaenda Wapi sirudii mimii!!Nisipoona utarudia
Hatareeeh sanaaa.
If so then hats off kwa mwamba,, if no,, then being bright as a new penny won't be a choiceTaken! right??
Nimemiss lips na shingo, dea [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Ndo nimeamka
Nkavamia comment [emoji23][emoji23]
Kelsea yupo kwenye Uzi wa tunda kimasihara ngoja nikamfurumushe awahi kikao!! 😂Hawa wajumbe Kelsea spidernyoka siwaoni lakini katibu!! Vipi tuendelee au tuwasubiri kwanza??
Vipi kachori ulipika ?
Muite katibu mwambie tumemmisi sana hukuu!Kelsea yupo kwenye Uzi wa tunda kimasihara ngoja nikamfurumushe awahi kikao!! 😂
Nina picha basi dearNimemiss lips na shingo, dea [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Sijapika.Vipi kachori ulipika ?
Tutumie tu ulichokula lolSijapika.
Nikipika utaniona tu na mapichapicha [emoji38]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Haya madude toka niyasome sijajuaga umuhimu wake mpaka leo.
Nilishatuma,Tutumie tu ulichokula lol