myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Hujambo Depal😂😂😂 abee
Hujambo Depal😂😂😂 abee
Coca jamani unajua we ni msumbufu sana kuselfika ebu shusha vitu basi mamiloo! Kichuna changu!Anza yako msomali koko wetu, kijana wa Mogadishu.![]()
Ni pisi kali au nisipoteze mdaShuka hapo flomi kutana na member Lizbeth Rodriguez humu sikuiz simuoni na id kabidili kabisa ila yupo hapo flomi!
Kina rangi nzuriKijora changu pambeee. Nakipendaaa,
mambo niliyoyafanya hiyo siku, hebu nishushe pumzi kwanza, shughuri ilifika kwa muhusika.View attachment 2257247
Wacha wee,Coca jamani unajua we ni msumbufu sana kuselfika ebu shusha vitu basi mamiloo! Kichuna changu!






😂 Shombe shombe la Tanga hiloKijora changu pambeee. Nakipendaaa,
mambo niliyoyafanya hiyo siku, hebu nishushe pumzi kwanza, shughuri ilifika kwa muhusika.View attachment 2257247
Mchuzi mwingi.
Iko huko juu mkuu!Nawewe uselfike sasa
Nakipenda mnooo, sare nzuri sana.Kina rangi nzuri
sawaIko huko juu mkuu!
Hivi ile ya sare kama ya Wema bado eehNakipenda mnooo, sare nzuri sana.
Nkaona na mie ninunue. Shughuri km shughuri.
Ipo kwa fundi, mbna ntaweka hapa, wee subiri tyuuh.Hivi ile ya sare kama ya Wema bado eeh
Daah basi ngoja nimuweke sawa mtoto mkali sanaNdyoooooh lect, tena ntakua chawa wenu.
![]()