Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Kama Heaven Sent jirani hayupo basi badae akiwasilia natupia mzigo kama nilivyo ahidi warembo wetu wa humu..Surbi njoo huku vocha zinawekww!
Kama Heaven Sent jirani hayupo basi badae akiwasilia natupia mzigo kama nilivyo ahidi warembo wetu wa humu..Surbi njoo huku vocha zinawekww!
Wow na ile rangi mama mchungaji aliyo kuchagulia utapendeza sanaIpo kwa fundi, mbna ntaweka hapa, wee subiri tyuuh.
HapUsijali mkuuLunch time ndio hio Surbi cocastic Tinsley Christine1 Hannah Heaven Sent Alayna Joline Kato Rebeca 83 Saint Anne Yna2 mawardat Nuzulati mtubless kidogo na selfies!
Tunamalizia kazi
Kaa kwa kutulia
Mie toka 2022 sijafumania mbususu naenda hadi 2023 nione kama nitatoboa_King sijanywa pombe tokea 2022 ianze lakini kuna fala leo kanilazimisha.
Watu wengine tusimiliki bunduki aisee.
View attachment 2256844
Ngoja niitafuteIko huko juu mkuu!
Salama jirani....Sijambo mkuu, habari ya wewe?
Mnoo afu classic sasa, si umemuona mwenyewee?Daah basi ngoja nimuweke sawa mtoto mkali sana
Salamu zetu ni selfie tuu!Helowwwww💃💃💃💃
Yaan nitawaka na kufunika mnooo, ukumbi mzima macho kwangu.Wow na ile rangi mama mchungaji aliyo kuchagulia utapendeza sana
Rangi adimu sana umependeza kweli ebu nibless nanyingine shombe shombe langu 😍 kama umetoka dubai jana huna ata kovu!Teenaaa kile kijora bhanaa nawee, kijora changu pambeeee, sitaki tabu na mtu, sina mbambamba, nimenyooka km rulaaa.
mtu na jambo langu, weraaaaaah weraaaaah.
Hivi hapa jf kuna mwanamke kifaa kuliko huyu?
Hunaga shughuli ndogo dear tutakuwa hapa tunasubir pichaYaan nitawaka na kufunika mnooo, ukumbi mzima macho kwangu.
Nimepanga kuukalisha ukumbi, awww.
Ananifanya nisahau bei ya mafuta kirahisi sana.H
Hakika hakuna!!