Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,261
Unaendana na hii emoji mzungu wetu wa mchongo[emoji41]Ata mchumba unapiga majungu[emoji28]
Unaendana na hii emoji mzungu wetu wa mchongo[emoji41]Ata mchumba unapiga majungu[emoji28]
Nipo lect wetu Mzungu, khaaaah kumbe ndo wee? J3 nakuja Ofisini kwakoUpo student? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani shouz hutaki mimi nifaidi dunia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umepatwa na nn? Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtu anaejikoboa sijui namuonaje, weupe hata sio dili mbna. Watu hawajui tyuuh yaan khaaah.Mimi sijaupiga mwingi sana.
Nimeongea namna wanaume wanaonukia wanavyocatch attention yangu.
Ukikaa naye safarini huboreki.
Sasa juzi nimekaa na mmama anajikoboa..ile harufu ya micream[emoji1784]
Mikono ina rangi 2 aiseee safari ilikuwa ndefu.
Tunyanyaseee mama tunyanyaseee!!! Ebu Naomba connection na bosi moya maisha yameshanila kiboga mie !!Weraaaaaah weraaaaaah,
Watu na shouzzzzz etu mjini, uwiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km sio wa kushtukiza, uwiiiiiih.Mzungu wa mchongo
Nipo hapa library, nnawachangamsha watu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe nipe location chap [emoji4]
Sawa Madam tubariki mchana wetu uwe vizuri!!!Jana soda zikawa tamu kupita maelezo hadi nikasahau. Sasa ngoja niweke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu sina uwiiiiiih.Aiseee kuna watu wanadai vocha nyie..utadhani walizitunza mahala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi wanawakosesha raha waweka vocha..
Ngoja aweke picha yake full ,yawezekana kweli akawa mzungu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km sio wa kushtukiza, uwiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umekula nn wee?Kwani shouz hutaki mimi nifaidi dunia?
Unataka nife kabla sijafaidi???
Weka mambo shouz...
Muambie aweke kwan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja aweke picha yake full ,yawezekana kweli akawa mzungu.
Kufaidi mautram ama nene!!!Kwani shouz hutaki mimi nifaidi dunia?
Unataka nife kabla sijafaidi???
Weka mambo shouz...
Shida ni pale mtu anakuwa na rangi tofauti tofauti...sasa ile mikono inavyobaki ndio huruma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mtu anaejikoboa sijui namuonaje, weupe hata sio dili mbna. Watu hawajui tyuuh yaan khaaah.
Atuache tuchukue samare..tumeze kabla pepa haijafika.Kufaidi mautram ama nene!!!
Wigelekelo akipita hapa sasa akaiona hii komenti sipati pichaaa!! [emoji6][emoji6][emoji12][emoji12]
Nimegundua kumbe nina njaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umekula nn wee?
Usitoke hapo nimalize deni mimiSiku iki kijiwe kimekua cha vocha iki
Atakua kaonjeshwa huyu sio bure!! [emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umekula nn wee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangi 3, afu kwann vidole na mikono huwa inakataa mkorogo?Shida ni pale mtu anakuwa na rangi tofauti tofauti...sasa ile mikono inavyobaki ndio huruma.