Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,217
Sauvage Og ni moto jamani 😂Pembeni kakae ka Sauvage na invictus..
Hapo mwanaume lazima hela zimfuate.
Unaweza jikuta unafall hivi hivi
Sauvage Og ni moto jamani 😂Pembeni kakae ka Sauvage na invictus..
Hapo mwanaume lazima hela zimfuate.
mkuu _King Habari za asubuhi ?? zile sandakalawe za 50k zitawekwa sangapi mkuu??? Nataka niweke alarm kabisa eti!!
Hivi alisema saa ngapi ataweka ???Nazisubiri
mkuu _King Habari za asubuhi ?? zile sandakalawe za 50k zitawekwa sangapi mkuu??? Nataka niweke alarm kabisa eti!!
Patachichimba hapa walai!!! itakua vuta niuvute hahahaaa!Nazisubiri
Inanukia harufu tamu.Sauvage Og ni moto jamani
Unaweza jikuta unafall hivi hivi
Tehteh Muite jamaa aje ashushe!!Wakati tunasubiri mtu ange shushs zile za kila siku
Patachichimba hapa walai!!! itakua vuta niuvute hahahaaa!
Anne kama Anne !! Ndiiioooo!!!Inanukia harufu tamu.
Mtu akipuliza ni rahisi sana hata kupata watoto wazuri.
Umkute sasa mwanaume ananukia hivyo..aiseee..hata kabla hajakugusa unalainika.
Tehteh Muite jamaa aje ashushe!!
Huwa nakosa ila hizo zote kweli nisiambulie Kweli!!! Nimekata tamaa ila za 50K zote kweli???Hahahaha patakuwa pazito apa antie
Mama JuniaInanukia harufu tamu.
Mtu akipuliza ni rahisi sana hata kupata watoto wazuri.
Umkute sasa mwanaume ananukia hivyo..aiseee..hata kabla hajakugusa unalainika.

Kabisaa ebu tusimsumbue bossi atakuja kwa muda wake!! Tuwe tu tunachungulia chungulia humuBoss angongewi mlango acha amke kwa muda wake sisi tupo apa
Ngoja nikamuongezee baba Junia aisee..Mama Junia![]()
Hahahaaa!!! Sawa acha nitulize mshono hadi aje atakapokuja!Boss angongewi mlango acha amke kwa muda wake sisi tupo apa
Hizi zikiwekwa muda ambao nipo free wallah nitaruka nazo angalau 3.mkuu _King Habari za asubuhi ?? zile sandakalawe za 50k zitawekwa sangapi mkuu??? Nataka niweke alarm kabisa eti!!
Inanukia harufu tamu.
Mtu akipuliza ni rahisi sana hata kupata watoto wazuri.
Umkute sasa mwanaume ananukia hivyo..aiseee..hata kabla hajakugusa unalainika.

unachachuka vibaya siku hizi shost, hapana khaaaahNamie leo nitakomaa mpaka nipatee mbona tutabanana hapo leo!!!Hizi zikiwekwa muda ambao nipo free wallah nitaruka nazo angalau 3.