myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salam kwenu...
Sure thing. Umepita mule mule.Nimejikuta naangalia kucha badala ya kuiangalia creed.
Creed is a must have perfume kwa mwanaume,
Inanukia kitajiri sana.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Salaam! ✋!Salam kwenu...
Maji moto muhimu sanaa...Kuoga maji ya moto ni kipaji mimi siwezi
Niko hapa shos sikuhizi natumia Antonnia!!
Saprrrrrrrrriiizzzzzeee!!![]()






nilitaka useme mwenyeweeee, nkasema hili ingizo jipya who? Nkasema wacha nimchokoze kwan. 





Pembeni kakae ka Sauvage na invictus..Sure thing. Umepita mule mule.
Jack Palladino alikubana na test?Mie nipoooo, nna kwa kwenda bas? Lol.
Jina halijakaa vizuri, lipo local sana nawee, hebu weka iconic yako speshooooooooh, jina hili usinambie n lako halisi?Warmly welcome shos we really missed you alot!! Selfika bila wewe palipoa sana shoss usiwe unatusahau kiivo shos akee!!
(Usinambie kwamba hujaizoea hii username pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!)
















@Jack Palladino alikubana na test?






course work zinadai balaaa, bas mambo n mvurugano tyuuuh.Ila we shouz genius..utatoboah tyuuh!course work zinadai balaaa, bas mambo n mvurugano tyuuuh.
Hata mie naona shoss humu sikuhizi uvamizi kama woteeee!! Mambo yashakua mengi humu!!nilitaka useme mwenyeweeee, nkasema hili ingizo jipya who? Nkasema wacha nimchokoze kwan.
Afu kuna ingizo jingne naliona pia, nahisi ni yeye ninae muwazia, nambie shouzzzzz ake,![]()
course work zinadai balaaa, bas mambo n mvurugano tyuuuh.
Hapo Pa kutoboa, hakna ubishi, sijawahi kuanguka.Ila we shouz genius..utatoboah tyuuh!
Mie tena, mbna kila kitu kipo sehemu yake, hapa ni kusubiri UE tyuuj.Utatoka tu wewe jembee nakuaminia!!
Hahahaaa!!! Im Antonnia meeeeeeeennnnn!! Hilihili shos lile nimeshaliacha mie Im happy na new Identity!!!Jina halijakaa vizuri, lipo local sana nawee, hebu weka iconic yako speshooooooooh, jina hili usinambie n lako halisi?![]()
Afu selfika inapoteza ladha kabisaaa, yaan sijui imekuaje lol.Hata mie naona shoss humu sikuhizi uvamizi kama woteeee!! Mambo yashakua mengi humu!!












Sasa weka hivi, "Tonniah"Hahahaaa!!! Im Antonnia meeeeeeeennnnn!! Hilihili shos lile nimeshaliacha mie Im happy na new Identity!!!



Selfika yasasa sio ya juzikati hapa ama ndio zama kubadilika!!!..naona mambo yashakua mengi humu dizain Panaboa!Afu selfika inapoteza ladha kabisaaa, yaan sijui imekuaje lol.
Au ndo macho yangu,
Avatar shouzzz nimeielewa pia.
Selfika yasasa sio ya juzikati nilioizoea mimii...naona mambo yashakua mengi humu dizain Panaboa!






yaan hatareeeeh,