Ujiselfishe kwanza tuone ulivyonona baada ya mizagamuo ya muda mrefuWacha wee?![]()
Ujiselfishe kwanza tuone ulivyonona baada ya mizagamuo ya muda mrefuWacha wee?![]()
Ooh vyema sanaNdo nishaingia hapa, na nimejaa teleee.
Mida yetu si ndo hii TinsleyOoh vyema sana
Sawa mkuuNipo kwa makala kaka
Kelsea selfika 🙏🏿Tunachagua mazuri tu mabaya yanabaki![]()
Dah....Ah bado
Nikishtuka usingizini saa tisa huko![]()
Kwamba utakula umelala muda huoDah....
Ishakula kwangu hiyo
Pamoja mkuuSawa mkuu
Hahaha siyo akhsante kwa vochaAsante kwa tag
Asante sMacho 😍😘
Ahsante mrembo
wifi angu mzuri mzuriWifii 😍
Kweli muda huo nitakua naota ndoto za kupata pesa mkuu labda ukipost kabla hujafuta nikuombe uniletee kwa Majaliwa nisike nikalia tu hapaKwamba utakula umelala muda huo
Sijaweka hiyo vochaHahaha siyo akhsante kwa vocha
Jorbeg kitu ganiJobeg umefika hapa sipawezi maji marefuacha Nile kwa self tu
![]()
Ah unaota ndoto njema kwa kweliKweli muda huo nitakua naota ndoto za kupata pesa mkuu labda ukipost kabla hujafuta nikuombe uniletee kwa Majaliwa nisike nikalia tu hapa


Wanaume mnapata wapi nguvu za kuulizia vocha?Halotel je

😂😂😂