Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
anafaidiNaam
anafaidiNaam
Wifii 😍
BoraKesho nayo siku.. vocha ya 50k vodacom zitamwagwa hapa.. focus na macho machoo tuu mwendo wa tai..
c.c Antonnia Heaven Sent Hannah Kelsea Surbi Christine1 Nuzulati Tinsley na wengine neoo hii ni kwa warembo tu wanaume wenzagu.. tusigombanie cha warembo wetu 😀😀😀
Subiri nakujaqNangoja ugeukee😍
Si jana tulikubaliana tutumie vidude vyetu kwa uhuru jamani au 😀😀😀Ko kwako ni sifa😬😬
Pamoja mkuu.Nitakualika siku moja twende OLIVE pale tupige maji..
Umeshaweka hio vocha??Si jana tulikubaliana tutumie vidude vyetu kwa uhuru jamani au 😀😀😀
Oooh nilisahau ok endelea ila haina kombe😬😬Si jana tulikubaliana tutumie vidude vyetu kwa uhuru jamani au 😀😀😀
Haweki mpaka tutoke online jf kisha utaona tag yake 😬😬Umeshaweka hio vocha??
Kesho shangazi.. hapa hapa. zipo mezani zinasubiri masaa zidodondoshwe tu.. mwenye speed yake atavuna 😀😀Umeshaweka hio vocha??
Mie nimepata kombe tayari kama hilo la kuniacha ni kombe hilo la kuachwa au hujui 😂😂😂Oooh nilisahau ok endelea ila haina kombe😬😬
Weka sasa hivi kesho tukifariki😬Kesho shangazi.. hapa hapa. zipo mezani zinasubiri masaa zidodondoshwe tu.. mwenye speed yake atavuna 😀😀
Nasubiri kwa hamu hapaMjep naked inakuja soon
🤣🤣🤣🤣🤣Nasubiri kwa hamu hapa
nitazika kwa mkono wangu.. leo nimeweka tayari hadi kesho yenaWeka sasa hivi kesho tukifariki😬
Haya niliyajua mapema tuKesho nayo siku.. vocha ya 50k vodacom zitamwagwa hapa.. focus na macho machoo tuu mwendo wa tai..
c.c Antonnia Heaven Sent Hannah Kelsea Surbi Christine1 Nuzulati Tinsley na wengine neoo hii ni kwa warembo tu wanaume wenzagu.. tusigombanie cha warembo wetu![]()
Manake ncheke kwanza wewe Mwanaume nimekushindwaMie nimepata kombe tayari kama hilo la kuniacha ni kombe hilo la kuachwa au hujui 😂😂😂