Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ah kumbe
Nitajie herufi ya mwisho wa jina lake huyo

Huwa naambiwa nimefanana na watu .. yawezakana nimefanana naye tu huyo dada
Jina sina kumbukumbu nalo ila she was short na maji ya kunde alaf mpole flani hivii nayuko charming sana amechangamka! Na umri wake haujaenda sana she's still in her twenties
 
Jina sina kumbukumbu nalo ila she was short na maji ya kunde alaf mpole flani hivii nayuko charming sana amechangamka! Na umri wake haujaenda sana she's still in her twenties
I'm not that short yani
Nipo kwa medium size
Vingine umepatia

Ila sio mimi huyo
Ilikuwa mwaka gani ?
 
Last week nlipanda Dart kwenda mbezi nmekaa na mtu nlijua ndo Antonnia alkua amejazia mashaallah amevaa nguo imekatwa kama kaushi gauni sjui kubwa lakin limemkaa ananiangalia kama ananijua nkajua ni mkemia mwsho akaniuliza kimara temboni ni wap
 
Back
Top Bottom