Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220610_182234.jpg
 
Ukija Arusha utaoga maji ya moto. Ushawahi kuingia bafuni kuoga kisha ukatundika nguo zako ile unataka kufungulia maji uoge ghafla unasikia sauti inakuambia "oga hayo maji ya baridi ufe sasa hivi"!.
Usambaani huko milimani kuna baridi sana na nilikuwa naoga ila Arusha niliwahi pita baridi lake si mchezo
 
So beautiful, unaona ulivyo upiga mwingi hapo. Nywele unasuka rasta ama?

Yaani wewe nikiwa mkurugenzi nakupa usaidizi wangu kwa nguvu..
😃😃 ni wewe ndio unaongea au maji ya dhahabu?
Maana ka wkend kameshakuwa kakubwa..
 
Back
Top Bottom