Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Snap it.Show it
Kwema mdogo angu. Za wewe?
Hhahahahaha😂😂😂😂😂😂😂 mwenyewe anakwambia usshunguuuuu!!!Dah we jamaa imeniuma sana yaan leo nimeunga bando la elfu 1 mb 600 hafu nakutana na Asante King kwa muhamala wa 5k.
Man, wallah sileti uji ukienda jela.
Yeah, simu moja lazima utachelewa.Ooh kumbe, mimi natumia simu moja ndio sababu nachelewa.
Mko mtaani kwangu kwa zamani. Mkitoka hapo mpitie HQ mkacheue kidogo
Share code share location mzee.Mko mtaani kwangu kwa zamani. Mkitoka hapo mpitie HQ mkacheue kidogo
Za mimi njema/salama kabisa dada yangu kipenzi mzuriKwema mdogo angu. Za wewe?
Ahsante sana. NimeshakaribiaZa mimi njema/salama kabisa dada yangu kipenzi mzuri
KARIBU
Sina picha mpya yaani
Mambo

Ukitoka hapo kwa Esha kama unaenda barabara ya Mabatini kuna Liquor store ndo inaitwa HQShare code share location mzee.
Ah Asante sanaSalama boss lady...
Utembelee kituo cha kazi uje uwasalimu wanafunzi![]()


Kivazi cha usiku wa manane..
Hapa ndyo akili yangu inapochanganyikiwa kbsa
swadakta
🤣🤣Hapa ndyo akili yangu inapochanganyikiwa kbsa