Ooh kumbe, mimi natumia simu moja ndio sababu nachelewa.1. Uwe na simu/devices zaidi ya moja
2. Uwahi kuingiza vocha ambayo haijawahiwa.
3. Uwe na speed
Mengine majaaliwa ya Mungu
π³π³Mimi pia nilikuwa najua wewe na shangazi ni nduguShangazi ako alijua mimi na wewe ndugu eti ndo akawa anatia ngum ila kakubali
Umeona mambo yako πππIle ulosema spesho iko wapi ???[emoji17] Nimefungua pm[emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urafiki au ugomvi, kimojawapo..Mwanzo wa kukosea namba, ndiyo mwanzo wa urafikiπππ
Boss huyu _King au kuna mwingine?Acha na mimi ni selfike, King asante. View attachment 2256123
We jamaa unagawa vocha kwa warembo hafu washkaji unatutema.Umeona mambo yako πππView attachment 2256330
π€£π€£ ushaachw na Nuratt. Tokea jana nauliza upo wp.Mad Max nipo natafuta kitoto hapa mitaa jioni twende nako Arusha mahala pale πππ kama una cha ziada nipe pande.. wa hapa JF wazito sana, ma big boys ndio wanawezana
ππππ mie msinizike tuuu... watoto wa kike wana vitu amazing hata mwili wa mtoto wa kike kama una magnetWe jamaa unagawa vocha kwa warembo hafu washkaji unatutema.
Si ndio tunachimba kaburi ebu sababisha muhamala.
Zikiwa jinsia tofauti, aah hapo nitapokelewa vizuriUrafiki au ugomvi, kimojawapo..
Dah we jamaa imeniuma sana yaan leo nimeunga bando la elfu 1 mb 600 hafu nakutana na Asante King kwa muhamala wa 5k.ππππ mie msinizike tuuu... watoto wa kike wana vitu amazing hata mwili wa mtoto wa kike kama una magnet
ππππ Watoto wa kike ni magnetic ...Jela watanirahisishia kuonana na kipenzi changu Allu ,Dah we jamaa imeniuma sana yaan leo nimeunga bando la elfu 1 mb 600 hafu nakutana na Asante King kwa muhamala wa 5k.
Man, wallah sileti uji ukienda jela.
Nakuja jiraniHapo nilikuwa nasuuza tu mdomo baada ya chai nzito
Nataka nipate lunch sasa.View attachment 2256177
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
PerfectHapo nilikuwa nasuuza tu mdomo baada ya chai nzito
Nataka nipate lunch sasa.View attachment 2256177
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
π€£π€£ kweli.Zikiwa jinsia tofauti, aah hapo nitapokelewa vizuri