Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutuuuu!! kwa huyo jirani yako na madame Hannah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Nilijua tu siwezi ambulia kitu hapa!
Hamna mkemia, unajua ni vile tu ushaona huwezi. Mimi hadi niingize vocha ya kwanza, ya pili; wewe hujakamilisha tu ya kwako moja? Na ukifanikiwa tu moja, speed inakuja
 
Hamna mkemia, unajua ni vile tu ushaona huwezi. Mimi hadi niingize vocha ya kwanza, ya pili; wewe hujakamilisha tu ya kwako moja? Na ukifanikiwa tu moja, speed inakuja
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]! Mie hata kuwepo sikuwepo sasa nilikua bize kidogo kurudi haaah!!! Manyoyaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…