Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Sikupingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakisikia tu mende anaongeza nguvu za kiume, haooooooo
Smart wengine ndio ofisi... huto tudogo twa kazi maalumu tu.. kazi ikiisha nako kanaisha πππSio kweli. Hiyo ndio simu ninayoitumia zaidi kuliko smart. Smart naweza nikaiacha hata wiki sijaigusa.
Napenda sana kutumia hako kasimu kwenye kutuma msg ni raha sana. Unaandika msg bila hata kuangalia.
Hivi Wige una nini lakini, mambo yalishapita jana wewe unayafuata. Unaona sasa hadi umepitwa na selfie yangu kisa upo comments za janaπππSikupingi
Sasa kama chips iwe na mayonaiz
Embe liwe na pilipili na ndimu
Zitatoka wapi hizo nguvu[emoji848]
πππ we mbona unakunywa uji wenye limao na ndimu ya china, na sijaambia watuSikupingi
Sasa kama chips iwe na mayonaiz
Embe liwe na pilipili na ndimu
Zitatoka wapi hizo nguvu[emoji848]
Mimi huyu......! Akaa.........Matendo mates mnajua penye mnaviachaga π€£π€£
Hahahaaaa..mbona nishatupia mr Vocha msijali itabidi niirudishe Mahondaw!Dah.......
Yanii hii user name bado inanichanganya boss lady nikiona notification naona kama ingizo jipya hiviπ€£π€£π€£π€£
Ahsante kwa salam madam
Leo utajiselfisha nisitoke?
Ha haaMimi huyu......! Akaa.........
Mimi nineiga kutoka kwako tuu
Mimi ni mfichua maovu tuuuπ€£π€£π€£
Hata visimu vidogo hivyo sina
Hahaha mmejaliwa ukarimu na roho njema [emoji1547]Em mwambie kwa herufi kubwa [emoji23][emoji23]
Tatizo laoZile nyama nyama uwiiii,, af ukute ana hit gym waist line yaonekana halafu huku chn ni Mercedes benz actros,, ukiwa na moja ya hvo [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Na wote tuseme AMENHahaha mmejaliwa ukarimu na roho njema [emoji1547]
Saa ngapi tutupie hizo nane jirani ππππ.. mbona usingizi wakati nimetoka kuamka khaEm mwambie kwa herufi kubwa ππ
Kazi ikiisha na kenyewe unakatupa.[emoji1787][emoji1787]Smart wengine ndio ofisi... huto tudogo twa kazi maalumu tu.. kaizi ikaisha nako kanaisha [emoji3][emoji3][emoji3]
Basi utupie sasa hivi kabla sijapeperuka. Weekend ndefu sanaSaa ngapi tutupie hizo nane jirani ππππ.. mbona usingizi wakati nimetoka kuamka kha
Umeanza kumuiga aunt Lizzy mdogo wangu
Oooh Mashallah[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Mjep mkuu Nilituma hii!View attachment 2256155
Ewaaaa....ππMjep mkuu Nilituma hii!View attachment 2256155
Hahah mimi piaKazi ikiisha na kenyewe unakatupa.[emoji1787][emoji1787]
Haka kangu nimekachapa pasword kama zote. Siri hazivuji.View attachment 2256162
Oooh Mashallah[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]