Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe tuna wataalamu wa hesabu wa kutosha hapa ndani hongera tena nkamu, naandaa daftari hapa nije nipate tuition
 
Ooh hongera sana
Kupunguza kilo hizo

Ah sasa hivi nanenepa kwa vingi nakula sana karanga iwe kwa mboga au peanut kwa mkate .
Chipsi nazo mara chache huwa naonja
Sihangaiki sana

Mimi pia karanga nakula sana tena napenda zile kubwa nyekundu nanunua kilo moja nazikaanga nakula kidogo kidogo [emoji2][emoji2]
 
Kuna mtu alinambia ana kg 76
Nikajua nitamkuta bonge hatari
Dah kumbe ni wa kawaida kama Frank wa Juakali..
Nikabaki nashangaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…