Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Ah ngumu sana tuache wanaoweza kwa kweli
Mimi ni foodie siwezi kufanya diet kabisa [emoji23]
Wanga haukwepeki kabisa kwa maisha haya ya kitanzania ..maana lazima uangukie huko .
Mimi nitapandisha hapa usikuMjep nifanyie kule jmn hapa sipawezi
Hiyo speed ya mama pastor siiwezi
Pole kwakweli Shangazi, hatuna namna sie wa Vodacom kubaki tuna enjoy tu ππNilivyotia huruma na mtandao wangu wa ajabu ajabu[emoji2][emoji2][emoji30]
Pamoja sanaMimi nitapandisha hapa usiku
Leo siku yangu imebanwa na ratiba ngumuu kuna mahali nimebananishwa siwezi kupata hiyo huduma mrembo
Ila usisahau kuselfika
eeeh hairushusiwi kabisaπππaah nimecheka
Eti mawimbi
Pole sana πππSiwezi aiseee
πππ badae naweka nane ili mchuano uwe mkali zaidiMamamaaa Mimi niliona zipo 2, kumbe zilikuwa 4ππππ
We king ndo nn ssPole kwakweli Shangazi, hatuna namna sie wa Vodacom kubaki tuna enjoy tu ππ
Hongera umejitahidiYa mwisho 67 msiweke
Nimeiuza
π€£π€£
π¬ππππππππππππPole sana πππ
eeeh mie si unanikazia PM bwanaa π₯²π₯²π₯²We king ndo nn ss
Hahahaha hizo nimeshakubali zinipite, nitakuwa barabarani. Kila la kheri kwa watakaoziwahiπππ badae naweka nane ili mchuano uwe mkali zaidi
Sawa, nimeshachukua namba yakoYa mwisho 67 msiweke
Nimeiuza
π€£π€£
Ukiamua unaweza mimi nimeweza na nimepungua kutoka kilo 86 mpaka 74
Nilichofanya nakula kila kitu sema kwa kiasi chapati badala ya kula mbili nakula 1,wali nakula kidogo sana ila mboga za majani nyingi matunda yakumwaga na maji mengi na upikie mafuta kidogo sana siku nitaweka kipimo cha chakula nachokula...
Mmh aiseeeHahahaha hizo nimeshakubali zinipite, nitakuwa barabarani. Kila la kheri kwa watakaoziwahi
Pole kwakweli Shangazi, hatuna namna sie wa Vodacom kubaki tuna enjoy tu [emoji3][emoji3]
Umetisha sana jirani wangu wa nguvuNimeshapita nazo 2 baba Pasta. Ubarikiwe sana πππππππ
Macho macho tu na focus.. inakuwaje Heaven Sent anapata mbili wewe hata mojaMakubwa
Labda na Surbi atapata
eeeh mie si unanikazia PM bwanaa π₯²π₯²π₯²