Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,416
- 829,763
- Thread starter
- #21,261









Naomba baraka zinifikishe Rchunga kwa sababu maalum kabisa.....moja ya raha ya hii thread ni stress free. unapost au share vitu ambavyo vipo kwenye comfort zone yako. vitu simple ambavyo havihitaji utumie akili nyingi kuviandika kabla ya kupost.
aliyeanzisha hii thread Mungu ambariki sana.











